🌐 Language
'Olelo Hawai'iAfaan Oromoobahasa IndonesiaBelarusianBrezhonegCebuanoChamorroChichewachiShonaChongthuCiyawoDanskDeutschEestiEnglishEspañolEsperantoeʋegbeFrançaisHausaHrvatskiIgboIlocanoItalianoKikuyuKiswahiliKiyombiKreyòl AyisyenLatinaLatviešulietuviųLingálaLugandaMagyarMahasuiMāoriNederlandsNorskPohnpeianPolskiPortuguêsQach’abelRomaniRomânăSanskritSetswanaShqipsrpski jezikSuomiSvenskaTagalogTiếng ViệtTonganTwiTürkçeUyghur tiliYorùbáÍslenskaČeštinaБългарскиРусскийУкраїнськаעבריתاردوالعربيةفارسیكوردی سۆرانیअहिराणी‎नेपालीभद्रवाही‎मराठीमानक हिन्दी‎हरियाणवी‎অসমীয়াবাংলাਪੰਜਾਬੀગુજરાતીଓଡ଼ିଆ‎தமிழ்తెలుగుಕನ್ನಡമലയാളംไทยဗမာἙλληνική中文日本語한국어+ Lugha zote
See More Jesus
Kiswahili

Biblia Inasema Nini Kuhusu Utauwa? — Kuishi Kwake · Maandiko ya KJV yenye Nambari za Strong — Jaribio la Biblia

Jaribio la Biblia

Biblia Inasema Nini Kuhusu Utauwa? — Kuishi Kwake · Maandiko ya KJV yenye Nambari za Strong — Jaribio la Biblia

Kwa kila rejea hapa chini, chagua kile mstari huo unachofundisha. Alama yako itaonekana mwishoni.

Hii ni jaribio linalopimwa. Lifaulu ili upate sifa kuelekea Cheti chako cha Uthibitisho wa Huduma.

2 Petro 1:3 — Uweza wake wa uungu umetupatia mambo yote tunayohitaji kwa ajili ya ________ na uchaji wa Mungu, kwa kumjua yeye aliyetuita kwa utukufu wake na wema wake mwenyewe.
uzima
dhambi
Mara
1 Timotheo 3:16 — Bila shaka yoyote, siri ya ________ ni kubwa: Alidhihirishwa katika mwili wa kibinadamu, akathibitishwa kuwa na haki katika Roho, akaonekana na malaika, akahubiriwa miongoni mwa mataifa, akaaminiwa ulimwenguni, akachukuliwa juu katika utukufu.
upole
utauwa
dhamiri
1 Petro 2:2 — Kama watoto ________, waliozaliwa sasa, yatamanini maziwa ya kiroho yasiyochanganywa na kitu kingine chochote, ili kwa hayo mpate kukua katika wokovu
ahadi
warithi
wachanga
Hosea 11:3 — Mimi ndiye niliyemfundisha ________ kutembea, nikiwashika mikono; lakini hawakutambua kuwa ni mimi niliyewaponya.
Ashuru
Samaria
Efraimu
Waebrania 11:6 — Lakini pasipo imani haiwezekani kumpendeza Mungu, kwa maana yeyote anayemjia Mungu lazima aamini kwamba yeye yuko na ya kuwa huwapa thawabu wale wamtafutao kwa ________.
kupata
bidii
huduma
Matendo ya Mitume 3:2 — Basi palikuwa na mtu mmoja aliyekuwa kiwete tangu kuzaliwa. Alichukuliwa na kuwekwa kwenye ________ la Hekalu liitwalo Zuri, kila siku ili aombe msaada kwa watu wanaoingia Hekaluni.
furaha
lango
ulimwengu
Matendo ya Mitume 3:12 — Petro alipoona watu wamekusanyika akawaambia, “Enyi Waisraeli, kwa nini mnastaajabu kuhusu jambo hili? Mbona mnatukazia macho kwa mshangao kana kwamba ni kwa uwezo wetu au ________ wetu tumemfanya mtu huyu kutembea?
utakatifu
dhamiri
upole
Matendo ya Mitume 3:8 — Akaruka juu na kusimama, akaanza kutembea. Kisha akaingia Hekaluni pamoja na Petro na ________, huku akitembea na kurukaruka na kumsifu Mungu.
Sauli
Yosefu
Yohana
Mwanzo 5:24 — ________ akatembea na Mungu, kisha akatoweka, kwa sababu Mungu alimchukua.
Enoki
Eberi
Gomora
Mwanzo 6:9 — Hivi ndivyo ________ vya Noa. Noa alikuwa mtu wa haki, na mkamilifu miongoni mwa watu wa wakati wake, tena alitembea na Mungu.
vizazi
mikono
rafiki
Mika 6:8 — Amekuonyesha yaliyo mema, ee mwanadamu. Bwana anataka nini kwako? Ila kutenda kwa haki na kupenda rehema, na kwenda kwa ________ na Mungu wako.
upumbavu
unyenyekevu
hati
Wakolosai 2:6 — Hivyo basi, kama vile mlivyompokea Kristo Yesu kuwa Bwana, endeleeni ________ ndani yake
kukaa
kuishi
kifo
Wakolosai 1:10 — Nasi tunaomba haya ili mpate kuishi maisha yanayostahili mbele za Bwana, na mpate kumpendeza kwa kila namna: mkizaa ________ kwa kila kazi njema, mkikua katika kumjua Mungu
matunda
tamaa
amani
1 Timotheo 2:1 — Awali ya yote, nasihi kwamba dua, sala, maombezi na ________ zifanyike kwa ajili ya watu wote:
unabii
ibilisi
shukrani
1 Timotheo 6:6 — Lakini ________ na kuridhika ni faida kubwa.
utauwa
saburi
upole
Tito 2:12 — Nayo yatufundisha kukataa ubaya na ________ za kidunia, ili tupate kuishi maisha ya kiasi, ya haki na ya utaua katika ulimwengu huu wa sasa
ahadi
mateso
tamaa
1 Timotheo 6:11 — Lakini wewe, mtu wa Mungu, yakimbie mambo haya yote. Fuata haki, ________, imani, upendo, saburi na upole.
utauwa
utakatifu
mwenendo
2 Petro 1:6 — katika ________, kiasi; katika kiasi, saburi; katika saburi, utauwa;
tamaa
maarifa
neema
1 Timotheo 6:12 — Pigana vile vita vizuri vya imani. Shika uzima wa milele ambao ndio ulioitiwa ulipokiri ule ________ mzuri mbele ya mashahidi wengi.
mkarimu
ukiri
ujasiri
1 Timotheo 1:18 — Mwanangu ________, ninakupa agizo hili, kwa kadiri ya maneno ya unabii yaliyosemwa kukuhusu, ili kwa kuyafuata upate kupigana vita vizuri
Efeso
Kaisari
Timotheo
2 Timotheo 2:3 — Vumilia ________ pamoja nasi kama askari mwema wa Kristo Yesu.
vita
taabu
sauti
2 Timotheo 2:4 — Hakuna askari yeyote ambaye akiwa vitani hujishughulisha na mambo ya kawaida ya ________ haya kwa sababu nia yake ni kumpendeza yule aliyemwandika awe askari.
maisha
Mtakatifu
kuzaliwa
Waefeso 6:11 — Vaeni silaha zote za Mungu ili kwamba mweze kuzipinga ________ za ibilisi.
tamaa
matunda
hila
Warumi 6:13 — Wala msivitoe viungo vya miili yenu vitumike kama vyombo vya uovu vya ________ dhambi, bali jitoeni kwa Mungu, kama watu waliotolewa kutoka mautini kuingia uzimani. Nanyi vitoeni viungo vya miili yenu kwake kama vyombo vya haki.
kutenda
mateso
hukumu
2 Timotheo 3:12 — Naam, yeyote anayetaka kuishi maisha ya ________ ndani ya Kristo Yesu atateswa.
ufufuo
dhamiri
utauwa
1 Wakorintho 9:25 — Kila mmoja anayeshiriki katika mashindano hufanya mazoezi makali. Wao hufanya hivyo ili wapokee taji isiyodumu, lakini sisi tunafanya hivyo ili ________ taji idumuyo milele.
kupata
nyota
asili
Waebrania 12:1 — Kwa sababu hii, kwa kuwa tumezungukwa na wingu kubwa namna hii la mashahidi, basi na tuweke kando kila kitu kinachotuzuia na ile dhambi inayotuzinga kwa urahisi, nasi tupige mbio kwa ________ katika yale mashindano yaliyowekwa kwa ajili yetu.
unyenyekevu
saburi
utakatifu
Isaya 40:31 — bali wale wamtumainio Bwana atafanya upya nguvu zao. Watapaa juu kwa mbawa kama ________; watapiga mbio wala hawatachoka, watatembea kwa miguu wala hawatazimia.
hua
tai
vipuli
1 Timotheo 4:8 — Kwa maana mazoezi ya mwili yana faida kwa sehemu, lakini ________ una faida katika mambo yote, yaani, unayo ahadi ya uzima wa sasa na ya ule ujao.
saburi
utauwa
utakatifu

← Rudi kwenye somo